Kumbe wasomali wanajua kuimba nimependa nyimbo zao

Kumbe wasomali wanajua kuimba nimependa nyimbo zao

askofu rashid

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
25
Reaction score
43
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti
Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.

 
Hahaha watu badala wachangie mada wanashangaa jina la mleta uzi
 
Back
Top Bottom