askofu rashid Member Joined Oct 26, 2020 Posts 25 Reaction score 43 Oct 30, 2020 #1 Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
Number ni 26 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,573 Reaction score 3,088 Oct 30, 2020 #3 Dah ila sema nn mwamba! Umeua sana na hilo jina lako [emoji23][emoji23][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ila sema nn mwamba! Umeua sana na hilo jina lako [emoji23][emoji23][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Oct 30, 2020 #4 askofu rashid hahahha
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Oct 30, 2020 #5 Hilo jina lako litakuwa na maisha ya umeme wa luku.
Twinawe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 2,431 Reaction score 5,336 Oct 30, 2020 #6 Hahaha watu badala wachangie mada wanashangaa jina la mleta uzi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 31, 2020 #7 Wanajitahidi... Cc: mahondaw
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Nov 1, 2020 #8 Hongera kwa ushindi wako kawe mkuu
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Nov 2, 2020 #9 Saaawaaaa