kumbe wasukuma wa vijijini huvaa sketi kuvutia wanawake ?

jdanganye wakat uku tunawatumia ka power tiller
...sijakataa kama wapo katavi, maana migration yao naifahamu, ila hao unaosema ni wa katavi ndio hao hao waliotoka mikoa ya kanda ya ziwa kwenda huko "ma" mpanda kujitafutia. But kiasili hakuna wasukuma wa Katavi
 
Dini/Biblia inakataza.Ooops!Nilisahau.Wengi wao ni waabudu mizimu.
dini? Nipe maana halisi ya neno dini na asili ya biblia na uenezwaji wake ulikuwaje,ukiniambia,nitakuambia kwa nini wasukuma wote hawaamini katika dini za vitabu kama quran na biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…