Kumbe Watanzania tuna uvumilivu mkubwa sana wa kisiasa; USA siyo, kosa la "upotofu wa kauli" linaondoa heshima ya Rais Trump

Si mna bunge na mahakama kwa ajili ya checks and balances,na serikali?
 
Mkuu sisi siyo kwamba ni wavumilivu sana.

Hatuna tu cha KUFANYA. Tuko MATEKA. Hatuna NAMNA.
 
Sisi Ni wahanga wa polisiccm, ukijaribu utakutana na ama kifo, ukilema au jela
 
Mleta mada unakosea Sana kumfananisha Trump na Magufuli.

Trump was not a career politician yule ni mfanyabishara mkubwa, hafahamu siasa za Washington DC, hakuwa na uzoefu wowote ule wa uongozi kwa nafasi yeyote ile serikalini, hivyo matendo yake yalitokana tu na hisia za yale iyokuwa akiyaona sio sawa kwa wanasiasa wa marekani wanavyoyafanya.

Hata hivyo baadhi ya watu wanasema kuwa kafanya reforms nyingi Sana ambazo ni nzuri kwa manufaa ya uchumi wa Marekani, na kwa kudhihirisha hilo kapata kura zaidi ya Milioni 70, alikuwa na wafuasi twitter zaidi ya milioni 80. Huwezi ita mtu kama huyo mkurupukaji kama Trump ni mkurupukaji how come spare kura zaidi ya 70 million unataka kusema watu wote hao hawajitambui?? Unakosea.

Unapokuja kwa Magufuli yeye ni mzoefu wa siasa, ana uzoefu wa miaka 20 kwa nafasi ya Uwaziri, anafahamu vyema namna serikali inavyofanya kazi.

Reforms zake zinatokana na observation na pia experience yake kwa namna serikali inavyofanya kazi, huyu kwa mtu mvivu na mpiga dili hata weza kuwa rafiki yake kwakua refoms zake zimelenga kuondoa utamaduni wa muda mrefu uliokuwepo wa kufuja mali za uma.

Baada ya kusema hayo sioni ni kwa namna gani mleta mada umefikia na hitimisho lako hili.
 
Mbona hujamzungumzia yule mabaga fresh aliyewahimiza wafuasi wake waandamane na kisha wakamtolea nje,yeye naye anakuwa ni kiongozi wa aina gani?
Jitu zimaa huna hata aibu!!!
Wenzio waliobaki na akili kidogo wamejificha wewe unakuja na kahoja uchwaraaaa!
Chutama mkuu
 
Raisi Trump ni kiongozi Mzuri sema tuu ukiwa mkweli halafu wakati huo huo umezungukwa na kundi na wanafki kama obama bideni na nancy huwezi kufanya yako bila kuletewa unafki. Ili uwe kiongozi bora huko ulimwengu wa kwanza ( kama unavyoita) lazima uwe na mambo ya kinafiki ikiwamo kujihusisha na mambo yasio kuhusu ya mataifa mengine.
 
Huko ni duaniani hakuna aliyejuu ya sheria, taifa kwanza mtu baadae
 
Kweli jamaa ni bonge la kiongozi
 

Kufanana kwa mtu, huwa siyo lazima wafanane kwa yote...

Trump vs Magufuli wanafanana kihulda na aina yao ya uongozi kwa zaidi ya 90%...

Wote;
å Wako high tempered
å Ni waongo
å Hujifanya wanajua kumbe hawajui
å Hawapimi madhara ya kauli zao
å Wanapenda madaraka na wanaweza kung'ang'ania kwa kadiri wawezavyo
å 2020 USA na Tanzania zilikuwa na chaguzi. Wote Trump & Magufuli walikuwa ni maRais wagombea wanao omba kuwa re - elected for their 2nd terms.
å Wote wameshindwa vibaya ktk chaguzi hizo
å Magufuli kwa sababu ya taasisi dhaifu za nchi ya Tanzania, akafanikiwa kufanya manipulation na kujishindisha. Here he is, "The president". Mwenzie Trump akajaribu kutumia njia kama za Magufuli ili abaki madarakani, kashindwa. Kwanini?
å Ni kwa sbb taifa la Marekani limejengwa ktk msingi wa taasisi imara, halimtegemei mtu kusimama bila kujali mtu huyo ni nani hata kama ni Rais na Amiri Jeshi mkuu..!
å Hitimisho la ujinga wake (Trump) mwenye akili na mtazamo ulio sawa na wa Magufuli, ilikuwa ni jaribio la ku - incite insurrection dhidi ya mamlaka halali ya kisiasa na serikali ya Marekani. Sasa anapata adhabu yake..
å Trump anaamini kuwa Marekani ni " yeye" na yeye ni "Marekani" kama ambavyo Magufuli anaamini yeye ndiye "serikali ya Tanzania" na serikali ya Tanzania ni "Magufuli". Lakini ukweli ni huu, " Serikali ya Marekani" ni watu wa Marekani na kamwe siyo Rais Trump kama tu ambavyo ilivyo hapa kuwa "serikali ya Tanzania" ni Watanzania na kamwe siyo "Rais Magufuli"..
 
Hivi kwanini hamlinganishi hao wamarekani walivyo na sisi tulivyo? badala yake mnalinganisha tu hiyo mifumo yao ya uongozi na yetu,hiyo mifumo yao inatokana na watu wao walivyo.
Sasa sisi tulivyo ni kinyume na hayo tunayoyasifia kwa wenzetu ila tunatamani mabadiliko na tuwe kama hao wenzetu ila sisi wenyewe hatutaki kubadilika.
 
Hii nchi inamiliki viwiwili vya watu wanaomiliki matiki kama VICHWA
 
For once i can see everyone today on this topic is on same page!! What is happening?? Are we at last seeing the true situation of this country?
If yes, what does the green legislature say? Whay does the judiciary say??
Are they all just after their salaries and allowances to the extent of tourturing their own citizens???
Where are the former Leaders-presidents! Vice Presidents! Prime Ministerd! Ministers!!!!
Where are our elites- the Professors, Doctors, lawyers, students!!
Have they all turned spectators????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…