Kumbe watanzania wengi elimu kidogo ujanja mwingi

Kumbe watanzania wengi elimu kidogo ujanja mwingi

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Nopo ktk gari sasahivi nawaona akina mama wawili wamevaa nadhifu utadhani ni wasomi wakubwa na pia ni eafanya kazi ktk ofisi kubwa kabisa kumbe waapi.
Tatizo:mmoja anamwambia mwenzie kua meanae amefauru darasa la saba na amepata dovision one .
Mwingine anamwambia kua jana wameangalia kwenye mkada matokeo na wameona mtoto wa mdogo wake amepata mia mia masomo mawili na mengine amepata sabini sabini.
Mimi kwann nisicheke na kuandika post kama hii.
 
Back
Top Bottom