LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Wayao kwao Tunduru,huyo mtu ana sonona ndiyo maana anajifanya mjuaji wa kila kitu.
Kuna wa kuwasikiliza kwenye hili lakini si huyo. Wayao kwao Tunduru mkoa wa Ruvuma.Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara.
Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
Kuna vitu vinashangaza sana mzee😀😀😂😂😂😂
Umelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.Siku zote najuaga wayao ni wenyeji wa wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ila leo kupitia member wa Jf nimegundua kuwa kumbe wayao ni wenyeji wa Mtwara.
Asante sana Jf. Leo nimejifunza kitu.
GENTAMYCINE Habahatishi.Umelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.
Wayao asili yao ni Msumbiji Jimbo la Niassa na eneo kubwa la nchi ya Malawi.
Waliishi jirani na kabila la Wamakua na kutokana na migogoro baina yao(kuuzana kwenye utumwa) walikimbia Msumbiji kila mmoja kwa wakati wake kuvuka Mto Ruvuma/Lujenda na kujikuta Tanganyika.
Wamakua wakajikuta Masasi na Newala Mtwara na Wayao Tunduru Ruvuma.
Kutokana na muingiliano wa kimaisha wapo Wayao Masasi na Wamakua Tunduru pia, ila Wayao wengi wako Tunduru na Wamakua wengi wako Masasi.
Wote hawa asili yao ni Kaskazini ya nchi ya Msumbiji.
Baada ya kupewa BAN kwa ID yako ya Kocha Msaidizi wa Jezi Sanda SC umekuja na hii ukidhani hautojulikana kabisa.GENTAMYCINE Habahatishi.
LIKUD hana Historia unaweza ukamwambia kuna wajaluo Tanzania atapinga aseme ni wakenya.
Mi ni Myao pia wa Masasi,acheni kukaririWayao kwao Tunduru,huyo mtu ana sonona ndiyo maana anajifanya mjuaji wa kila kitu.
Kukupa Mimba au?Hawezi
Hivi nyie Watu wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums huwa mnapata wapi muda wa Kuwaelimisha Wapumbavu mno?Umelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.
Wayao asili yao ni Msumbiji Jimbo la Niassa na eneo kubwa la nchi ya Malawi.
Waliishi jirani na kabila la Wamakua na kutokana na migogoro baina yao(kuuzana kwenye utumwa) walikimbia Msumbiji kila mmoja kwa wakati wake kuvuka Mto Ruvuma/Lujenda na kujikuta Tanganyika.
Wamakua wakajikuta Masasi
,Nanyumbu na Newala Mtwara na Wayao Tunduru Ruvuma.
Kutokana na muingiliano wa kimaisha wapo Wayao Masasi na Wamakua Tunduru pia, ila Wayao wengi wako Tunduru na Wamakua wengi wako Masasi na Nanyumbu.
Wote hawa asili yao ni Kaskazini ya nchi ya Msumbiji.