GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Mi ni Myao pia wa Masasi,acheni kukariri
Hata Kilwa Masoko na Kivinje wapo lakini asili yao ni Tunduru.Mi ni Myao pia wa Masasi,acheni kukariri
Hivi nyie Watu wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums huwa mnapata wapi muda wa Kuwaelimisha Wapumbavu mno?
Asili yetu ni MalawiHata Kilwa Masoko na Kivinje wapo lakini asili yao ni Tunduru.
Wamakonde asili yao ndio Msumbiji,Wayao ni Malawi mkuu,hata hao wa huko Tunduru na kwingineko wayback walitokea Malawi.Hivyo Myao hana asili ya TunduruUko sahihi.
kinachoongolewa hapa ni wapi mliko wengi..ukiacha uasilia wa Msumbiji Wayao wa Masasi wanaondugu/Koo zaa Tunduru.
Masasi Wayao wanapatikana kwa wingi maeneo machache kama vile eneo la Mtandi(Masasi Mjini),Mpindimbi,Chiwata na Nagaga.
Sawa lakini kwa Tanzania tunajua ni Tunduru ni kama Wangoni ambao inasemekana asili yao ni Afrika Kusini lakini kwa Tanzania ni Songea.Asili yetu ni Malawi
Wewe ni muongo asili ya wayao sio msumbijiUmelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.
Wayao asili yao ni Msumbiji Jimbo la Niassa na eneo kubwa la nchi ya Malawi.
Waliishi jirani na kabila la Wamakua na kutokana na migogoro baina yao(kuuzana kwenye utumwa) walikimbia Msumbiji kila mmoja kwa wakati wake kuvuka Mto Ruvuma/Lujenda na kujikuta Tanganyika.
Wamakua wakajikuta Masasi
,Nanyumbu na Newala Mtwara na Wayao Tunduru Ruvuma.
Kutokana na muingiliano wa kimaisha wapo Wayao Masasi na Wamakua Tunduru pia, ila Wayao wengi wako Tunduru na Wamakua wengi wako Masasi na Nanyumbu.
Wote hawa asili yao ni Kaskazini ya nchi ya Msumbiji.
Soma nilichokiandika na kukielewaWewe ni muongo asili ya wayao Yasio msumbiji
Nakubaliana na wewe,Wayao wengi kwa sasa wako Malawi ila asili yao ni Msumbiji(soma hata maandiko), walikwenda Malawi na kuja Tanzania kwa sababu mbalimbali ikiwemo migogoro na jirani zako Wamakua na masuala ya kutafuta fursa(biashara) LIKUDWamakonde asili yao ndio Msumbiji,Wayao ni Malawi mkuu,hata hao wa huko Tunduru na kwingineko wayback walitokea Malawi.Hivyo Myao hana asili ya Tunduru
Asante kwa somo la historia.Umelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.
Wayao asili yao ni Msumbiji Jimbo la Niassa na eneo kubwa la nchi ya Malawi.
Waliishi jirani na kabila la Wamakua na kutokana na migogoro baina yao(kuuzana kwenye utumwa) walikimbia Msumbiji kila mmoja kwa wakati wake kuvuka Mto Ruvuma/Lujenda na kujikuta Tanganyika.
Wamakua wakajikuta Masasi
,Nanyumbu na Newala Mtwara na Wayao Tunduru Ruvuma.
Kutokana na muingiliano wa kimaisha wapo Wayao Masasi na Wamakua Tunduru pia, ila Wayao wengi wako Tunduru na Wamakua wengi wako Masasi na Nanyumbu.
Wote hawa asili yao ni Kaskazini ya nchi ya Msumbiji.
GENTAMYCINE Habahatishi.
LIKUD hana Historia unaweza ukamwambia kuna wajaluo Tanzania atapinga aseme ni wakenya.
wayao na wamakuwa ni watu wawili tofauti. Wayao kwao Tunduru, wamakua kwao Masasi.Umelishwa Matango Pori..hicho chanzo chako cha habari hata huko Masasi anakusikia tu.
Wayao asili yao ni Msumbiji Jimbo la Niassa na eneo kubwa la nchi ya Malawi.
Waliishi jirani na kabila la Wamakua na kutokana na migogoro baina yao(kuuzana kwenye utumwa) walikimbia Msumbiji kila mmoja kwa wakati wake kuvuka Mto Ruvuma/Lujenda na kujikuta Tanganyika.
Wamakua wakajikuta Masasi
,Nanyumbu na Newala Mtwara na Wayao Tunduru Ruvuma.
Kutokana na muingiliano wa kimaisha wapo Wayao Masasi na Wamakua Tunduru pia, ila Wayao wengi wako Tunduru na Wamakua wengi wako Masasi na Nanyumbu.
Wote hawa asili yao ni Kaskazini ya nchi ya Msumbiji.
Na wazaramo pia wapo Dar na Pwani na huwezi kumlazimisha wa Dar umwambie yeye asili yake ni Pwani wakati hana hata ndugu yake anayemjua anayetokea PwaniSawa lakini kwa Tanzania tunajua ni Tunduru ni kama Wangoni ambao inasemekana asili yao ni Afrika Kusini lakini kwa Tanzania ni Songea.
Kwanza Pwani na Dar ni kitu kimoja hata mipaka yake yote inajionesha wazi,Dar yote imezungukwa na mkoa wa Pwani na Wazaramo wote unaowajua wewe na usiowajua hata waishi wapi lakini asili yao ni Pwani,kama siyo Kisarawe itakuwa Mkuranga, Kibaha au Bagamoyo.Na wazaramo pia wapo Dar na Pwani na huwezi kumlazimisha wa Dar umwambie yeye asili yake ni Pwani wakati hana hata ndugu yake anayemjua anayetokea Pwani
Mipaka ya huko kwingine wayback ilikuwa ni mimoja pia mkuuKwanza Pwani na Dar ni kitu kimoja hata mipaka yake yote inajionesha wazi,Dar yote imezungukwa na mkoa wa Pwani na Wazaramo wote unaowajua wewe na usiowajua hata waishi wapi lakini asili yao ni Pwani,kama siyo Kisarawe itakuwa Mkuranga, Kibaha au Bagamoyo.
Mfano ni ile familia ya Tambaza ambayo ilimiliki Upanga yote,Kivukoni yote na eneo la Kigamboni asili yao ni Bagamoyo.
Sawa,Mipaka ya huko kwingine wayback ilikuwa ni mimoja pia mkuu