Kumbe Yanga kitambo tu Mlima Kilimanjaro?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Wakati Simba wakiwa kwenye harakati za kufanya uzinduzi wa Jezi yao kwenye Kilele cha Mlima KILIMANJARO na kujiwekea Historia na Rekodi nchini Tanzania na hata barani Afrika kama siyo Duniani kabisa.

Lakini Yanga wao waliweka rekodi huko juu ya Kilele kitambo sana enzi hizo wakiwa chini ya Udhamini wa Kile kinywaji kinachochangamsha mwili na hata ile mpya yenye mapicha picha baada ya kuipandisha Jezi yao japo haikuwa Official kwa Klabu ilikuwa ni Mashabiki wenye Mapenzi na Timu yao.

 
Wewe upo nyuma ya wakati.
 

Attachments

  • FB_IMG_1689446878460.jpg
    76.3 KB · Views: 5
Hawa jamaa hawasikii baridi ? Hizo t shirt bila makoti πŸ€”
 
πŸ˜†πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe upo nyuma ya wakati.
Tofautisha tukio la kuzindua jezi na kitendo cha kupeleka jezi kwenye kilele cha Mlima.

Ni matukio mawili tofauti

Hilo swala la kupeleka jezi kileleni Simba iliwahi kulifanya miaka ya nyuma kabisa misimu zaidi ya minne iliyopita.
 
Kweli nyie hamnazo...mlikua mnazindua au mlipanda na matisheti yenu ya Yanga
 
aaah!!!kitambo sana hii mambo sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…