Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Wakati Simba wakiwa kwenye harakati za kufanya uzinduzi wa Jezi yao kwenye Kilele cha Mlima KILIMANJARO na kujiwekea Historia na Rekodi nchini Tanzania na hata barani Afrika kama siyo Duniani kabisa.
Lakini Yanga wao waliweka rekodi huko juu ya Kilele kitambo sana enzi hizo wakiwa chini ya Udhamini wa Kile kinywaji kinachochangamsha mwili na hata ile mpya yenye mapicha picha baada ya kuipandisha Jezi yao japo haikuwa Official kwa Klabu ilikuwa ni Mashabiki wenye Mapenzi na Timu yao.