Mengi Ayoub
Member
- Apr 20, 2022
- 56
- 46
πππ Sawa bhana
Tuletee ile inayoonesha Hamza akifanya yake kule ubalozini
Chukua ile ya njano yenye mabanda ya kuku mitaro sanamu la posta machinjio ya vingunguti netball ndoni halafu mlivyokuwa na roho mbaya gofu lenu la pale jangwani matopeni katika maramani ya mijezi yenu mmeweka vigawe wakati sisi msimbazi mmetuwekea mabati ππππMashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!
By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
Kwani nani mwanzilishi wa kubeza jezi? Nyie mnaona mnayo haki ya kubeza na kutweza kila kinachofanyika Simba lakini mkiguswa nyie mnaonewa,huu ujinga wa Haji Manara ndiyo mumeufanya kuwa mfumo wenu wa maisha.Mashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!
By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yakooooo. Km nakuona unaandika huku chozi linadondoka kwa kibodi,Mashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!
By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waleteeeeeee.Chukua ile ya njano yenye mabanda ya kuku mitaro sanamu la posta machinjio ya vingunguti netball ndoni halafu mlivyokuwa na roho mbaya gofu lenu la pale jangwani matopeni katika maramani ya mijezi yenu mmeweka vigawe wakati sisi msimbazi mmetuwekea mabati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wewe kinyeo vipi si upromote jezi Yako umekaa kuleta Uzi wa kimagumashi wa nn sasa.[emoji23] utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko [emoji172][emoji169]
View attachment 2307661
Wewe Mangi wa Kuahunundu wewe ni bure kabisaπ utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko ππ
View attachment 2307661