Kumbe Yanga waliiga muonekano wa jezi zao

Kumbe Yanga waliiga muonekano wa jezi zao

Mengi Ayoub

Member
Joined
Apr 20, 2022
Posts
56
Reaction score
46
πŸ˜‚ utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko πŸ’šπŸ’›
1659069073881.jpg
 
Mashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!

By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
 
Chukua ile ya njano yenye mabanda ya kuku mitaro sanamu la posta machinjio ya vingunguti netball ndoni halafu mlivyokuwa na roho mbaya gofu lenu la pale jangwani matopeni katika maramani ya mijezi yenu mmeweka vigawe wakati sisi msimbazi mmetuwekea mabati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!

By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
Kwani nani mwanzilishi wa kubeza jezi? Nyie mnaona mnayo haki ya kubeza na kutweza kila kinachofanyika Simba lakini mkiguswa nyie mnaonewa,huu ujinga wa Haji Manara ndiyo mumeufanya kuwa mfumo wenu wa maisha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa simba wanateseka! Sisi tunawacheka tu kwa dharau. Kwa sababu mwisho wa siku ushindi wa uwanjani hauletwi na hizo jezi!

By the way, jezi zote ni nzuri. Binafsi nitachukua ule uzi mweusi. Maana unaendana na rangi yangu ya mwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yakooooo. Km nakuona unaandika huku chozi linadondoka kwa kibodi,

Wapi madekio,?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Chukua ile ya njano yenye mabanda ya kuku mitaro sanamu la posta machinjio ya vingunguti netball ndoni halafu mlivyokuwa na roho mbaya gofu lenu la pale jangwani matopeni katika maramani ya mijezi yenu mmeweka vigawe wakati sisi msimbazi mmetuwekea mabati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waleteeeeeee.
 
Yani wamezidisha mpaka imekua utando wa buibui
 
Sijui kama hizi jersey ameziona Waziri Mabula,

Ni juzi tu hapa amepiga marufuku ukataji wa viwanja vya high density.
 
[emoji23] utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko [emoji172][emoji169]
View attachment 2307661
Wewe wewe kinyeo vipi si upromote jezi Yako umekaa kuleta Uzi wa kimagumashi wa nn sasa.

Wewe kapromote Uzi wa vinyeo fc wenzio huko
 
Tutabishana humu ina internally Uto fans wanajua jezi zao chenga, nyeusi kidogo afadhali
 
jezi hii hii mbaya yenye magorofa na buibui na mitaro atakayovaa Aziz Ki ndo itaipasua Kolo FC ngao ya jamii! Na stori itahama kutoka "jezi mbaya za Uto" hadi "MOooo na Barabarani tuachieni Simba yetu" baada ya mashabiki oya oya wa Mikia kung'oa viti Lupaso na kwenda kupiga mawe jengo lao Msimbazi!! Tusubiri!
 
MTU HATA HAUJUI THE IDEA BEHIND DESIGN YA HIO JEZI... SIO KOSA LAKO
 
Back
Top Bottom