kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Kwa namna nilivyokuwa nasikia habari zao na nilivyo waona, hatakama ni wachache lakini hiyo ni tabia Yao halisiUmeona wangapi wanafanya/ wanatabia hizo?
Wapo tayari udhalilike Ile wao wazidi kupanda juu... ukiwa juu yake hatulii mpaka akushushe!
😠
Sawa mkuu.Kwa namna nilivyokuwa nasikia habari zao na nilivyo waona, hatakama ni wachache lakini hiyo ni tabia Yao halisi
... watu sampuli hiyo ukikaa nao watakunoa kila siku uwe mkali kama sime ya Mkurya! ... FAIDA!Wapo tayari udhalilike Ile wao wazidi kupanda juu
Ni kweli kabisa kuna jamaa muhaya kaona nimenunua simu kali yani paka sasahivi atulii anataka anizidi ila kipato chake akiruhusu ila wahaya noma... ukiwa juu yake hatulii mpaka akushushe!
😠
Dawa ni kuwapuuza na kutowapa nafasi ya kuleta misifa Yao mbele ya macho na masikio yako... watu sampuli hiyo ukikaa nao watakunoa kila siku uwe mkali kama sime ya Mkurya! ... FAIDA!
Hapo kwenye uchawa ndiyo balaa, hawashindwi kukuchongea uongo ili tu upoteze uaminifuYana majungu hayo , shobo sana kwa viongozi ..
Mimi nafanya nao kazi kitengo kimoja, yaani kutwa wanashinda ofisi za bosi kupiga umbea tu.Nimesoma nao chuo, nimefanya nao kazi na nimeishi nao mtaani, aise hawa watu ni kama wanaambukizana tabia.
Wanapenda kujipendekeza kwa mabosi maofisini, kuchongeana mara huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile ili mradi tu yeye aonekane ndiye bora.
Ukifanya nao kazi eneo moja utaona kazi chungu maana majungu yao sio ya kiwango cha kawaida mazee.
hii sio kwa wahaya tu, niulize mimi😆Mimi nafanya nao kazi kitengo kimoja, yaani kutwa wanashinda ofisi za bosi kupiga umbea tu.
Kuna Mmoja wakati nimeripoti kazini aliniambia nisiwe na mazoea na bosi Fulani sababu huyo bosi ana roho mbaya, ila ajabu yeye ndiye chawa wake na kutwa wapo nae.
Bora ajisifu na awe na Hicho anachojifu Mwingine ni kapuku kabisaNilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.
Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.
Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌