GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Habari za uhakika kwa 100% zimeonesha yule jamaa aliyeonekana akitembea uchi na familia yake akiwa na mkwe wake Morogoro ni member mwenzetu wa MMU.
Chanzo cha taarifa hii ni yeye mwenyewe alipokuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari na kudai kwamba anajisikia vibaya sana kwani rafiki zake wa JF wanamzonga na kumcheka sana ila kawaonya kwamba kama wakiendelea kumcheka basi atafanya namna yoyote na wao watembee uchi popote walipo hapa dunia kwani yeye hajawahi kushindwa na kitu. Kama ni inshu ya kibamia ni chake na mke wake wao kinawahusu nini.
Aisee kumbe JF inawatu wa aina nyingi sana hivyo inatupasa kuwa makini sana na ushauri wao wanaotupa.
Ni hatari sana.