#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!
 
Hiyo ni 16% kwa Idadi ya Watanzania wote, ambao ni chini ya 4%.

Of course SSH anasimamia maslahi ya Zanzibar. Hakuna jipya hapo.

Ndio maana unaweza kumfukuza yoyote anayehoji na kujali maslahi ya Watanganyika. Watanzania wote milioni 60.
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Hiyo pesa ni nyingi sana

Dar es Salaam ina watu wengi kuliko Zanzibar lakini hawajapewa hicho kiasi
 
Back
Top Bottom