johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!