#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Hicho kimkoa chenye watu milioni 2 kinakula bilioni 230! Yani sijui kwanini hakaendelei kama Hong-Kong. Hovyo kabisa!
 
Inawezekanaje mkoa mdogo kuliko hata pwani ukapokea madolari mengi namna hiyo? Ndugai for presidency 2025!
Baba wa taifa ndo aliyaweka Haya Sio huko tu mpaka kwenye ajira ni 21-79 mengi wanafaidi lakini Huu Muungano unahitajika sana na Bara kuliko wanavouhitaji ndo maana unalindwa kwa gharama yoyote
 
Chato iko Tanganyika na sio nchi nyingine Zanzibar haiwezi kujengwa kwa expence za watanganyika haiko hivo na muungano huu hauna maslahi kwa Tanganyika, hakuna mtanganyika anaweza kua Rais Zanzibar hayupo
Hili swali au maelezo yako yanapashwa kumwendea mh Hangaya
 
Baba wa taifa ndo aliyaweka Haya Sio huko tu mpaka kwenye ajira ni 21-79 mengi wanafaidi lakini Huu Muungano unahitajika sana na Bara kuliko wanavouhitaji ndo maana unalindwa kwa gharama yoyote
Ulikuwa unahitajika zaman sio sasa hamna sababu yenye mashiko zaidi ya stori za undugu na ujamaa...
 
Pamoja na kwamba wao nchi, lakini hizo pesa ni nyingi sana kwa Zanzibar relatively na zilizoenda Bara. Aliyetangaza hivyo bila shaka ni member wa S-Gang huyo.
 
Wakati tunaungana Zanzibar ilikuwa tajiri kuliko Tanganyika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…