Huu ni mtego unaokwepwa na Wanasiasa hasa wa Upinzani hata wa ndani ya CCM, wanategeana kulizungumzia hili ila wakati utafika watasema tu kama walivyosema Chato.. Hata ndugai alifumba fumba tu ila point ilikua hiyoJob Ndugai alikuepo na haja ya kuona mkopo hauna Faida yeyote Ile kwasababu pesa nyingi zimepelekwa Zanzibar. Kwanini wapinzani wa sasa wanashindwa kuwa jasiri kama marehemu Mch Christopher Mtikila alivyokuwa anazungumzia haya masuala ya jinsi Tanganyika inavyoinufaisha Zanzibar
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli habari hizi, ni kwamba Zanzibar imepata karibia ya nusu ya budget yake ya 450 billion kwa wakati mmoja.TRA wapo zbar
Mwendazake alikuwa anawadhulumu stahiki yao.
Kama wameumia wavunje Muungano kwani anautaka si ni Bara?
Mwisho , Serikalini imepata mkopo usio riba kutoka Badea til.7,, kwenye pesa hizo Zanzibar itapata til.1 sawa na 14%
View attachment 2072886
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hong Kong labda ya buza ndio haina maendeleoHicho kimkoa chenye watu milioni 2 kinakula bilioni 230! Yani sijui kwanini hakaendelei kama Hong-Kong. Hovyo kabisa!
Uchawi si wanabunge lao linakatiba yao au?
Walitoa mafuta kwenye muungano wameshindwa kutoa mikopo kwenye muungano?
Zanzibar imekua ikipunjwa kitambo tu na baraKama ni kweli habari hizi, ni kwamba Zanzibar imepata karibia ya nusu ya budget yake ya 450 billion kwa wakati mmoja.
Ujumbe wako ungekuwa mzuri zaidi kama ungetulia na kupangilia.Kwa sababu nimekunywa chibuku,nimekuelewa.Uwiano wa watu milioni 60 kwa bilioni 600 halafu uwiano wa watu milioni 1.7 wapewa bilioni 230,
Zilizobaki bilioni 500 zililipwa kutuliza makali ya madeni ambayo yameanza kumachure
Tulizeni nyodo sharti ya kuolewa ni kulala bila chup*
Lugha ya kiarabu hiyo kijana[emoji23][emoji23][emoji23]Nyonyo mwenyewe kenge wewe