juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Zali???Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo
Sijaelewa unachotaka hapoZali???
Harafu???
Ndio show ilikuwa yao kwa maana WALIINUNUA KUTOKA KWA ZARI & DIAMOND NDIO IKAWA YAO. Pole sana kama hujui kuwa DUNIA YA SASA iko huru kwa yeyote kuchukua fulsa, hata wewe ukitaka NENDA KAONGEE BEI NA WCB MAPEMA UCHUKUE SHOW WALIYOITANGAZA ITAKUWA 24/12/2016. Wakiwahi wenzenu MUSIWE MNALALAMIKA.Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo
Chunguza kwa makini utaelewaSijaelewa unachotaka hapo
[emoji28]Hajui hata kakosea wapi
msamehe bure
🙂[emoji28]
Has haa haas aiseeeHajui hata kakosea wapi
msamehe bure
Ndio maana nilishangaa, Yale mapokezi ya zari yalikua ni bab kubwa pale clouds nikasema kuna kitu nyuma ya pazia, loohLeo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo
Hili sio somo la kiswahili,msinichosheChunguza kwa makini utaelewa
Hajui hata kakosea wapi
msamehe bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ZALI ndio nani tena maana hapa mjini kila siku anazaliwa STAR mpya.
Mganda aliona fursa tusizoziona.Ndio maana nilishangaa, Yale mapokezi ya zari yalikua ni bab kubwa pale clouds nikasema kuna kitu nyuma ya pazia, looh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi mbona povu linakutoka?Ndio show ilikuwa yao kwa maana WALIINUNUA KUTOKA KWA ZARI & DIAMOND NDIO IKAWA YAO. Pole sana kama hujui kuwa DUNIA YA SASA iko huru kwa yeyote kuchukua fulsa, hata wewe ukitaka NENDA KAONGEE BEI NA WCB MAPEMA UCHUKUE SHOW WALIYOITANGAZA ITAKUWA 24/12/2016. Wakiwahi wenzenu MUSIWE MNALALAMIKA.
Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo