Tatizo lako wewe uchelewi kutukana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi mbona povu linakutoka?
Mhhh mhh mhhh! Vijana MNA mambo!!! Umenifanya nicheke!ZALI white party ilikua ya clouds ila ZARI white party sijui ilikua ya nani!
AiseeeIlikuwa idea yake Ruge ya kupiga hela hata complimentary zilienda tolewa copy ziliuzwa siku io mpaka watu wa black label wakagombana na Ruge.. Ova
Hili tatizo la matumizi ya L na R ni tatizo hata kwa wakuu wetu!Hajui hata kakosea wapi
msamehe bure
Mbona sipigwi ban kama natukana?Tatizo lako wewe uchelewi kutukana.