Kumbe ZARI WHITE PARTY ilikuwa ya Clouds Fm?

Kumbe ZARI WHITE PARTY ilikuwa ya Clouds Fm?

Ilikuwa idea yake Ruge ya kupiga hela hata complimentary zilienda tolewa copy ziliuzwa siku io mpaka watu wa black label wakagombana na Ruge.. Ova
 
Zari ana akili sana kuliko mumfikiriavyo,na white party amekuwa anafanya Mara kwa Mara hata Uganda,inategemea na makubaliano yao na pesa atakayoingiza,afanyagi kazi za hasara hata siku moja
 
Back
Top Bottom