Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
 
Sumaye your hero now?

Ni muda wa kutafakari sana na wala sio kutoa tu maneno..

Haya tunayaona ni machache kati ya mengi
 
Back
Top Bottom