KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

Kama kapombe kacheza na kaly ongala mchangani miaka ya 90 basi itoshe kusema SIMBA inakumbatia WAZEE..
Hiyo mechi ni ya 2000s huyo kapombe hajurikani kabisa
Na ABAJALO fainali walileta mziki mnene
Mtumbuizaji alikuwa SOLOTHANGS
live da ABAJALO ndo timu ya mchangani ilikuwa na mbwembwe na ela pia walikuwa nayo watoto wa sinza

enzi hizo CHAMA langu lilikuwa ni KAGERA RANGES
sema CHAMA la mtaani lilikuwa LINEA MESSINA la MAGOMENI KUONDOA
 
Sinza Star kuna Striker alikuwa anaitwa Tom Kagonji..alikuwa hatari sana...Sinza Star na Abajalo wakikutana noma..
 
Hiyo mechi ni ya 2000s huyo kapombe hajurikani kabisa
Na ABAJALO fainali walileta mziki nini
Mtumbuizaji alikuwa SOLOTHANS

enzi hizo CHAMA langu lilikuwa ni KAGERA RANGES
sema CHAMA la mtaani lilikuwa LINEA MESSINA la MAGOMENI KUONDOA

Messina walipigwa kwa penati katika Fainali ya KIFA.
Game ya kwanza iliisha kwa Suluhu kisha Van Dame akawachapa sana wahuni wa Messina…

Forza Abuja
 
Messina walipigwa kwa penati katika Fainali ya KIFA.
Game ya kwanza iliisha kwa Suluhu kisha Van Dame akawachapa sana wahuni wa Messina…

Forza Abuja
Van damme akikitana alikuwa anatulizwa kimtindo na GENDAHEKA wa messina

Ila SULUHU umeona wapi FAINALI kuwa SULUHU
hiyo michezo alikiwa anaipenda MZEE KINESI

KAGERA RANGES na MESSINA wametoka SULUHU
anauliza mnasemaje ndugu zangu GIZA limeingia tupige PENALTY au game irudiwe
Watu irudiwe
Sisi wenyewe tulikuwa tunapenda pia GAME ipigwe tena mana sometime FAINALI zinaenda mpk 3
zile purukushani za mechi za mchangani mana penaty ya mwisho REFA anapiga filimbo yupo ndani ya GETI la MAKURUMLA
sisi wanyonge tunaangalia PERNATY nje juu ya MITI
Sasa hapo penaty mchezaji apate akose kitanuka tuu
Mabati yote yanabomoka
Kota yote kuanzia za chini huku mpk TANESKO mtaa KONDOA wote mshikemshike MWEMBECHAI yote ngumi tu mpaka chini mitaa KIMAMBA vulugu tupu

Sema WAHUNI bana kesho mkikutana washikaji kama kawaida hakuna kununiana kama mademu
ya jana ya jana mnakutana maeneo mnakula ndumu pamoja kama kawa
 
Messina walipigwa kwa penati katika Fainali ya KIFA.
Game ya kwanza iliisha kwa Suluhu kisha Van Dame akawachapa sana wahuni wa Messina…

Forza Abuja
Abajalo ni neno la kikabila?je ina maana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…