KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

Manzese alikuwepo mbabe mmoja anaitwa Santana ,piga ngumi hatari huyo mtu,full combat
 
Kama umezaliwa Namanyere huko hii huwezi jua.
 
Kulikuwa na Damme wa Sinza afu kuna Herry Mzozo wa Friends Rangers.

Hao katika ubora wao wanaweza wakamaliza mechi muda wowote kwa utata
 
madogo wa siku wakijifanya wahuni uwa nawaangalia.wahuni walikuwa kaka zetu miaka hyo.tupo wadogo wadogo.tunatumwa sigara.mtu mzima ukipita salama kwa wahuni unashukuru mungu.
Kimsingi dunia sasa imetoa. Hakuna watemi sasa kuna wauza sura tu. Zamani kulikuwa na watemi mkuu acha tu.
 
Mkuu karibu tena jukwaa ni baada ya kimya kirefu, ulipatwa na maswahibu gani?

Jukwaa limeharibika limejaa wajinga wengi wasiojuwa mpira.

Tafadhali wenye jukwaa lenu tunaomba mrejee ili tupate zile ladha tulizozimisi.

Siku hizi eti jukwaa la michezo Gentamycine eti ndiye amepewa tuzo ya jukwaa la michezo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kuna ujinga msingi sana una endelea jukwaa la michezo pls magalacha wa jukwaa hili mrudi kuirudisha ile ladha tuliyoizoea.

Nakumbuka mechi ya mwisho ilikuwa Chama lako la AC Milan uliwaambia watu humu Ac Milan lazima ishinde na mpira haudundi, kama mpira unadunda kaudunde baharini.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Sasa huyo shomari,, show me the way aliyezungumzwa kwenye uzi huu ni yupi?

Ni mido ya Abujaโ€ฆ
Tuliowahi kumuona tulikubaliana kuwa Shomari ni Veron + Liquerme + Gilberto Silva
 

Kila zama na kitabu chake Kaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ