Kumbukizi: Aliyesimea Ushindi wa CCM hautegemei Mungu alifariki mwezi mmoja baada ya kauli hiyo

Kumbukizi: Aliyesimea Ushindi wa CCM hautegemei Mungu alifariki mwezi mmoja baada ya kauli hiyo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kufuru inawezekana kabisa Mungu sometimes huwa anazijibu mapema. msikilize huyu mama wa CCM huko zanzibar akimkufuru Mungu wa Mbinguni. Amekufa lini?

=====



Zawadi saleh Makame alitoa kauli hiyo Oktoba 3, 2020, ambapo mauti yalimkuta katika hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja Novemba 18, 2020.
 
Wewe Unadhani alikufuru?

Yaani haya maushindi ya vyama vya siasa mfano Chadema Kanda ya Nyasa yanakuwaga na Baraka za Mungu wa Mbinguni?! 🐼
 
Back
Top Bottom