Kumbukizi: Aliyesimea Ushindi wa CCM hautegemei Mungu alifariki mwezi mmoja baada ya kauli hiyo

Kumbukizi: Aliyesimea Ushindi wa CCM hautegemei Mungu alifariki mwezi mmoja baada ya kauli hiyo

Hakuna uhusiano wowote ule wa kufa na Kukufuru Mungu. Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama akikufuriwa anaua watu, Aje aniue kama ana huo uwezo.
 
Hakuna uhusiano wowote ule wa kufa na Kukufuru Mungu. Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama akikufuriwa anaua watu, Aje aniue kama ana huo uwezo.
Usiku sikilizia, umekwisha😂😂😂😂😂
 
Kufuru inawezekana kabisa Mungu sometimes huwa anazijibu mapema. msikilize huyu mama wa CCM huko zanzibar akimkufuru Mungu wa Mbinguni. Amekufa lini?

=====

View attachment 3154587

Zawadi saleh Makame alitoa kauli hiyo Oktoba 3, 2020, ambapo mauti yalimkuta katika hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja Novemba 18, 2020.
Wakisha shiba huwa wanajitoaga ufahamu kana kwamba Mungu naye anakadi ya ccm, nikikumbuka na ile kauli ya bungeni ya atake asitake..........
 
Wala huyu hakukufuru, aliongea ukweli wa mwenyezi Mungu
 
Kwani kifo ni adhabu? Na je wanaokufa huku wanamtukuza Mungu wao wamekosea nini?.

Siungi mkono kufuru, lakini kifo hakihusiani na makosa au mema uliyofanya hiyo ni hatma ya binadam.
Makamba aliposema wazuri hawafi uliunga mkono kauli yake.
 
Lilikuwa limeshajifia ilikuwa bado kuzikwa tu
 
Kufuru inawezekana kabisa Mungu sometimes huwa anazijibu mapema. msikilize huyu mama wa CCM huko zanzibar akimkufuru Mungu wa Mbinguni. Amekufa lini?

=====

View attachment 3154587

Zawadi saleh Makame alitoa kauli hiyo Oktoba 3, 2020, ambapo mauti yalimkuta katika hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja Novemba 18, 2020.
kwamba ameaga dunia kwasabb ya makasiriko yako dhidi ya maoni yake wakati akiwa hai?

Au ni Mungu mwenyewe kwa Neema na Baraka zake kwa waja wake, alitoa na sasa ametwaa kilicho chake sawa sawa na uumbaji wake?

Kukufuru ni ushirikiana 🐒
 
Ni kweli ushindi wa CCM hategemei Mungu.
Ushindi wa CCM unategemea wizi, rushwa na ushirikina.
 
Back
Top Bottom