Kumbukizi: Aliyesimea Ushindi wa CCM hautegemei Mungu alifariki mwezi mmoja baada ya kauli hiyo

Hakuna uhusiano wowote ule wa kufa na Kukufuru Mungu. Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama akikufuriwa anaua watu, Aje aniue kama ana huo uwezo.
 
Hakuna uhusiano wowote ule wa kufa na Kukufuru Mungu. Kwa sababu huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama akikufuriwa anaua watu, Aje aniue kama ana huo uwezo.
Usiku sikilizia, umekwisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.unanikumbusha mashabiki wa utopolo.walimuomba mungu awaletee malaika wacheze nao.timu za Tanzania zimewashindwa.
Akawaletea azam na tabora.
Ambao wote wamefungwa na simba.
Kwi kwi kwi kwiiii ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Wakisha shiba huwa wanajitoaga ufahamu kana kwamba Mungu naye anakadi ya ccm, nikikumbuka na ile kauli ya bungeni ya atake asitake..........
 
Wala huyu hakukufuru, aliongea ukweli wa mwenyezi Mungu
 
Kwani kifo ni adhabu? Na je wanaokufa huku wanamtukuza Mungu wao wamekosea nini?.

Siungi mkono kufuru, lakini kifo hakihusiani na makosa au mema uliyofanya hiyo ni hatma ya binadam.
Makamba aliposema wazuri hawafi uliunga mkono kauli yake.
 
Lilikuwa limeshajifia ilikuwa bado kuzikwa tu
 
kwamba ameaga dunia kwasabb ya makasiriko yako dhidi ya maoni yake wakati akiwa hai?

Au ni Mungu mwenyewe kwa Neema na Baraka zake kwa waja wake, alitoa na sasa ametwaa kilicho chake sawa sawa na uumbaji wake?

Kukufuru ni ushirikiana ๐Ÿ’
 
Ni kweli ushindi wa CCM hategemei Mungu.
Ushindi wa CCM unategemea wizi, rushwa na ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ