GE2025 Kumbukizi: Balozi pole pole; "uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kukabidhi ikulu"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.

Kujiuzulu ubalozi kwa aliekua balozi wa Tanzania nchini Cuba hakujaja kwa bahati mbaya, kwani ni mara kadhaa hapo nyuma mzalendo huyu amekua akikionya chama chake ccm juu ya kuheshimu misingi ya democrasia na utawala bora.

Lakini CCM ni kama sikio la kufa halisikii dawa kiasi wenye CCM yao (CCMasili) wameamua kujitoa sadaka na kuusema ukweli japo ukweli huo ni mchungu kwa wale CCM maslahi km kina lukas.
Your browser is not able to display this video.
 
CCM imeshajifia kitambo. Kwa sasa haina tofauti na mgonjwa anayeishi kwa msaada wa mitungi ya oksijeni (policcm na tumeccm).
 
Wakiwa Nje ya madaraka lazima waongee haya na wanajua kabisa.

Ila CCM inachokifanyaga ni ku counter Upinzani Kwa kuangalia aina ya mgombea Urais wa kumuweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…