Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima.

"Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti siku lile koti limechukuliwa utakosama mahala pa kuficha uso wako" - January Makamba
 
Back
Top Bottom