Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

Long time no see ya
 
You are appreciated...
 
big up mzee kwa historia nzuri... hawa jamaa wutanga walikua wanaandika kinoma noma yani sio poa ma flow zao zimekaa mahala pake kabisa..
Nilipata time ya kucheki series ya history yao pia wameiandika makini sana
 
Aahsante sana kwa compliments kiongozi.
Kilichofanya series iwe bomba ni kwakwua kaiandika RZa mwenyewe na rafiki yake ambae walikua wanafahamiana toka zamani. So wanajua every details sio kama kuhadithiwa
 
Don't give nobody my love while I'm locked up state.
2pac
 
Dah Wu- Tang umenikumbusha mbali kipindi niko advance nilitoa kirefu Cha Ile abbreviation ya kiitikio wimbo wa C.R.E.A.M dah nilipata ujiko Sana as if me ndio nimetunga kumbe nimesikiliza Sana Method Man
 
RzA kichwa sana huyu jamaa
.
.
And here a go on a mission to the uterus
A million mother fuckers tried to race ahead
But I was the one that fertilized the egg
 
Dah Wu- Tang umenikumbusha mbali kipindi niko advance nilitoa kirefu Cha Ile abbreviation ya kiitikio wimbo wa C.R.E.A.M dah nilipata ujiko Sana as if me ndio nimetunga kumbe nimesikiliza Sana Method Man
Cash Rules Everything Around Me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…