Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza Protect your neck ya Wu Tang.Sijasikiliza nyimbo nyingi za Wutang ndio maana sikuelewa mkuu
Somewhere inside me I witnessed my heart die..."The hard times make a true friend afraid to ask for currency
But you could run to me when you need and I'll never leave"
Hizi line zimenikumbusha mbali sanaa,ila katika hard times watu huwa wanaweza kufanya chochote cz pia hatuna true friends wengi ni snakes na wanasikilizia nini kitakukuta ktk hizo nyakati ngumu.much respect 2 pac.
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna wimbo nimeuona jana Youtube unaitwa I get Around. Aisee ni bonge la nyimbo na video...nenda kaucheki kidogo.Until the end of time hii
And even though we both came from the same places
The money and the fame made us all change places
Hii ngoma alitoa akiwa na kati ya miaka 20-22 hpivi, sikumbuki ilikuwa kwenye album ganiMkuu kuna wimbo nimeuona jana Youtube unaitwa I get Around. Aisee ni bonge la nyimbo na video...nenda kaucheki kidogo.
Hua najiuliza nikweli Pac alikua na miaka 24🤔
Back to get wreck
All respect to those who break their neck to keep their hoes in check
Cause hoes, they sweat a brother majorly
And I don't know why, your girl keeps paging me
She tell me that she needs me, cries when she leaves me
And every time she sees me, she squeeze me, lady take it easy!
Hate to sound sleazy, but tease me, I don't want it if it's that easy
Ayo bust it, baby got a problem saying bye bye
Just another hazard of a fly guy
You ask why, don't matter, my pockets got fatter
Now everybody's looking for the latter
And ain't no need in being greedy
If you wanna see me dial the beeper number baby when you need me
And I'll be there in a jiffy
Don't be picky, just be happy with this quickie
But when you learn, you can't tie me
Mpaka leo nashindwa kufumbua hili fumbo 😂Hawa watu hua wanakula vitu gani mbona mimi na miaka yangu hii nikisimama naambiwa naonekana chalii wa 19.🤔
This nigga was genius.Kabla ya kumfuatilia Nilikua najua alikufa akiwa 30s..
Mwenyewe anasema ndio kwanza nina 22 sijaweka hata plans zangu ila watu wananifuatilia haswaa na nimeweza kuhudumia familia
View attachment 2491920
Acha kabisa nime fanikiwa kuitazama ni bonge moja la series na Inspiration kwa vijana tunao pambanaSalute Sir.
Kama utapenda unaweza kutazama series ya biography yao imetengenezwa na RZA mwenyewe inaitwa Wu-tang Clan: American SagaView attachment 2473897
Tatizo kuu ni ukomunist mkuu. Ndio maana muvi za kichina na kirusi ni ngumu sana kutoboa Hollywood unless waigizaji wawe pia wa US la sivyo hazipewi airtime.Iv kwanin movie nying za kichina hazikutoboaga na hazitobiagi Hollywood?
S1Ep1 kuna pale Bob alienda kumuomba kaka yake dollar 2000 anunue Drum Machine kaka yake akamnyima halafu Ason na Dennis wakaanza kumchana mistari.Acha kabisa nime fanikiwa kuitazama ni bonge moja la series na Inspiration kwa vijana tunao pambana
This nigga was genius.
Baada ya 2Pac mwingine aliyekua ana flow tamu ni Hussein Fatal anachana vizuri sana. Msikilize kwenye nyimbo ya Me against the world, Baby Don't Cry, Hit Em Up ndio aliua kabisa naipenda sana Verse yake. RIP Washington "Hussein Fatal" Edward JrIts a court adjourned bad seed from bad sperm