Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

Kuna nyimbo yao moja ina intro. Hii.
For money, I assassinate
Today, I have an opponent that's worthy
Now killing me
You won't find that so easy

Ni jinsi yanavyotamkwa.... Siku moja nilipoangalia Drunken Master ndiyo nikagundua ni maneno ya Hwang Jang Lee akimwambia baba yake Jack Chan kwenye final fight. Sema Wu Tang vichwa sana
 
Nazikubali sana Kung Fu movies, hasa za zamani. Nazicheki sana channel ya Wu Tang collections Youtube. Kuna movie moja naitafuta sana. Kuna mtabe anaenda kila mji na kupiga waalimu wa Kungfu. Akiulizwa ametoka wapi anajibu kuzimu. Anataka nini? anajibu anafundisha watu kungfu. Alifika kwenye shule moja alipiga ticha na wanafunzi wake watatu. Ticha akawa hoi, akawaambia wanafunzi wake waondoke. Wanafunzi walienda huko na kujifunza kungfu kwa watu mbalimbali. Mmoja alienda kujifunza kwa mvuvi mwingine kwa maza fulani.

Movie ile ina choreographs kali sana. Kama kuna mdau anaijua jina afanye wepesi.
 
Much appreciation Sir✌️

Lakini always ndivyo inavyokuwa, mtu bright/smart ufanya mambo au jambo lake kwa viwango vya juu. Huku yeye kwa vision zake anaona akiwa amefanya kawaida kama watu wengine wanavyofanya but in reality amefanya kitu kwa extraordinary ability kwa kuhusisha (Intelligent + Intellectual ability).​
Don't tell me I'm such thing that you're referring me to.
Binafsi hua naona ni vitu vya kawaida ambavyo kila mtu anaweza kua anavijua. It's just napenda kusgea yale nayokuanayo kichwani
Najua ni vigumu kunielewa kwa sababu ndiyo wewe na hauwezi kunielewa kwa sababu hauwezi kuuvua uhusika ulionao na kuvaa uhusika mwingine.

That's why ni rahisi sana kuuchambua or kuucheza mpira pale wewe unapokuwa nje ya uwanja kuliko wanaoucheza.
Ndio maana makocha ni watazamaji wazuri wa mpira na sio wachezaji.

So nipo hapa kama kocha🤭🤗
Tena sio kocha tu, bali kocha wa Manchester United "Erik Ten Hag"🤣.
Kwenye mpira hata sijui kitu.. namshabikia Messi na mayele tu😅
Yaani mpira nina zero kabisa Huyo ten hag hata simjui.
Niambie muvi tu
So, You have such talent Sir.
Cheers ✌️.​
Thanks for being a regular visitor & Commentator of my writing
 
Nimekaa hapa natazama RETURN TO THE 36TH CHAMBER kupitia KIX
20230110_220812.jpg
 
Ndio maana beats za RZA nyingi lazima utasikia mapanga yanakwaruzana
Rza kichwa sana yaani anavyochombeza vionjo vya muvi kwenye muziki wake Hadi raha. Unawezajua kuna watu wanapigana
 
Inatia majonzi sana hii nyimbo...
"Spend my time in this cell, ain't living well..I know my destiny is hell, where did I fell"
Nyingine ain't mad at cha hua inanituliza sana the way ana flow kwenye hiyo ngoma.

Nina playlist maalumu ya 2Pac karibia kila siku namsikilizaView attachment 2474367

Hii playlist ya kibabe sana...
 
Eeh bhana Da'Vinci u kill it's gaademit kitambo hicho madaftari yangu yote nilichora yule mwewe wa Wu Tang,..yanii 36 Chambers of Shaolin kila kona
 
Eeh bhana Da'Vinci u kill it's gaademit kitambo hicho madaftari yangu yote nilichora yule mwewe wa Wu Tang,..yanii 36 Chambers of Shaolin kila kona
Tulimchora Jack chan..snake in the monkey shedo (Shadow)
Drunken master
 
Back
Top Bottom