TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Kwamba Jamaa amewazidi kimaisha sasa hivi?Umenikumbusha Jamaa ambaye alibase Sana kuchunga Ng'ombe wakati sisi tuko buzy na Shule na tukawa tunamcheka mwishowe Baba yake akamuanzisha Shule na tukawa tunasona naye, aisee jamaa alitukimbiza mpaka hivi sasa naandika hapa Jamaa ni Mwlm Shule wa shule ya Msingi.