Kumbukizi: Kipanya aibuka na Hayati Dkt. Magufuli

Kumbukizi: Kipanya aibuka na Hayati Dkt. Magufuli

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mwana katuni maarufu nchini leo tena ameamua kutuwacha kwenye mataa.

Ametupia picha ambayo binafsi nimeshindwa kuisoma na kulazimika kwaomba wataalam wa kusoma picha.

Naombeni tusaideni sisi tusiyo na utaalam husika.

Screenshot_20230608-092443_Instagram.jpg
 
Ina maana Jiwe alikomba kila kitu?
Unaweza kusema pia Toto linakula tu halishibi na halinyamazi au alipewa bila kitu Yote yanaingia.

Ukumbuke mitanzania tunapenda makeleleee, kumlilia mtu mmoja atufanyie kila kitu.
 
Unaweza kusema pia Toto linakula tu halishibi na halinyamazi au alipewa bila kitu Yote yanaingia.

Ukumbuke mitanzania tunapenda makeleleee, kumlilia mtu mmoja atufanyie kila kitu.
Nashukuru kwa mchango mzuri mkuu ila hapo kwa neno MITANZANIA nafikiri umeteleza kidogo
 
Back
Top Bottom