Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Samahani. Wingi wa Mtanzania ni Watanzania. Kiswahili hichi.Nashukuru kwa mchango mzuri mkuu ila hapo kwa neno MITANZANIA nafikiri umeteleza kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani. Wingi wa Mtanzania ni Watanzania. Kiswahili hichi.Nashukuru kwa mchango mzuri mkuu ila hapo kwa neno MITANZANIA nafikiri umeteleza kidogo
Angalia chupa ya maziwa yameisha na uji kwenye sahani umekwisha na mtoto bado analia...Hujatoa maana ya hiyo picha
Huyu ndiye babaMwana katuni maarufu nchini leo tena ameamua kutuwacha kwenye mataa.
Ametupia picha ambayo binafsi nimeshindwa kuisoma na kulazimika kwaomba wataalam wa kusoma picha.
Naombeni tusaideni sisi tusiyo na utaalam husika.
View attachment 2649735
Asante sana mkuuHapa kwenye picha naona kuna meza, juu yake kuna chupa ya maziwa ya mtoto kama iko tupu hivi na kijiko kiko juu ya sahani tupu huku baba mwenye miwani na komwe lake lisilo na masikhara nahisi ni The late President huyu kama sijakosea, amepakata mtoto kama vile mtoto anapiga sana kelele huku The late President anavuja jasho, nahisi ni kutokana na kumbembeleza sana mtoto huku pana alama ya mshangao anamshangaa mtoto na alama ya kuuliza anajiuliza swali kwanini anachofanya hakimnyamazishi mtoto..
Uelewa wangu
Naamini mtoto ni mgonjwa na The late President anaamini mtoto ana njaa, baada ya kumaliza kumlisha ndio anagundua haikua njaa kuna jambo jingine, anajiuliza ni nini sasa?
ha..ha...ha.. atakuwa kauziwa gazti lililopita skAcha kukurupuka!! Soma tarehe kwenye katuni wewe