Kumbukizi: Miaka 39 bila AFCON, safari ya Taifa Stars iliyotengeneza historia ya soka Tanzania

Kumbukizi: Miaka 39 bila AFCON, safari ya Taifa Stars iliyotengeneza historia ya soka Tanzania

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Kabla ya kizazi cha sasa cha mashabiki wa Taifa Stars kulikuwa na kizazi kilichoweka historia kwa kuifikisha Tanzania katika mashindano makubwa ya soka barani Afrika.

Mwaka 1980, Taifa Stars ilifuzu kwa mara ya kwanza kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), zilizofanyika Nigeria.

Baada ya hapo, Tanzania ilisubiri hadi mwaka 2019 kurejea katika mashindano hayo, ikiwa ni baada ya kipindi cha miaka 39.

Safari hii inaonesha jinsi historia ya mafanikio ya michezo inavyojengwa kwa hatua na vizazi tofauti.
Wadau wa michezo ambao mlikuwepo miaka hiyo 😀 😀 mna lipi la kuongezea? Au nyie wote ni GenZ?🤔😀

AFCON.jpg
 
Back
Top Bottom