Kabla ya kizazi cha sasa cha mashabiki wa Taifa Stars kulikuwa na kizazi kilichoweka historia kwa kuifikisha Tanzania katika mashindano makubwa ya soka barani Afrika.
Mwaka 1980, Taifa Stars ilifuzu kwa mara ya kwanza kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), zilizofanyika Nigeria.
Baada ya hapo, Tanzania ilisubiri hadi mwaka 2019 kurejea katika mashindano hayo, ikiwa ni baada ya kipindi cha miaka 39.
Safari hii inaonesha jinsi historia ya mafanikio ya michezo inavyojengwa kwa hatua na vizazi tofauti.
Wadau wa michezo ambao mlikuwepo miaka hiyo
π π mna lipi la kuongezea? Au nyie wote ni GenZ?π€
π