Kumbukizi: Mmachinga msomi alivyoiwashia moto Serikali baada ya kupiga marufuku biashara ndogondogo maeneo mbalimbali ya Dar

Kumbukizi: Mmachinga msomi alivyoiwashia moto Serikali baada ya kupiga marufuku biashara ndogondogo maeneo mbalimbali ya Dar

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Oct 25, 2021 mahojiano na machinga Kariakoo kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa Dar wakati huo Amos Makalla kupiga marufuku shughuli za kibiashara ndogondogo katika maeneo yasiyo rasmi kama juu ya mitaro, mbele ya shule za serikali au taasisi za serikali, pamoja na hifadhi za barabara zote mkoani hapo, akisema zimekuwa zikichangia kutokea kwa vurugu na ajali za barabarani

 
Back
Top Bottom