KUMBUKIZI: Mtu aliyekuwa na raha zaidi Duniani huyu hapa!

KUMBUKIZI: Mtu aliyekuwa na raha zaidi Duniani huyu hapa!

Haya maisha ukiwa na akiba ya maneno utaenjoy sana.

Jamaa kawekwa hapo kubalance mzani, enemy of your enemy is your friend. If you cannot fight them, make them irrelevant.
 
ehh mama, maisha acha tu, usihukumu kabla ya muda, jamaa karudi kwenye raha tena, unasemaje?
Kuteuliwa kwake na ccm kurudi kwenye ccm ya majambazi ili akafanye tena ujambazi hakumfanyi makonda kuwa mwema.

Makonda ni jambazi.
 
Hivi manara alimnenea nn huyu jamaa? Maana sauti za kumtakia manara heri juu ya huyu jamaa ni nyingi Sana .
Kuna maneno mengi sana aliropoka kpnd kile makonda anatetea nyumba ambayo GSM walitaka kuichukua wakidai makonda aliwadhurumu kpnd yupo RC wa DSM, mtu mwenye akili timamu asingeongea vile, huyu lazima watamkaanga tu
 
Back
Top Bottom