Kumbukizi: Mvutano wa Jerry Muro alivyokuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru na mkurugenzi wake Dkt. Mahera

Kumbukizi: Mvutano wa Jerry Muro alivyokuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru na mkurugenzi wake Dkt. Mahera

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ilikuwa ni moja ya mvutano huku Jerry Muro akionekana akimlalamikia moja ya kiongozi ambaye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Dkt. Wilson Mahera Charles kwa kuchelewa kufika katika ziara. Naye wakati anaambiwa hivyo alionyesha kucheka na Muro kutafsiri kama kitendo cha dharau. Kwa mbaliii aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo akionekana hana la kusema kabisa


​
 
Maisha ni kama taulo. Sehemu ya taulo unayoitumia kupangusia katikati ya makalio, kesho utaitumia kupangusia mdomo.
 
mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo akionekana hana la kusema kabisa
Gambo alikuwa RC wa Arusha huku Mbunge alikuwa Godbless Lema. Baada ya hapo Wilson Mahera akachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (Nec) na nafasi yake ya ukurugenzi Arusha akateuliwa Bw. Maulid Madeni
 
Unaweza mkoromea boss wako wa kesho unknownly

Kesho mnakutana kwenye mishe unanawa mikono hewani bila maji
 
Back
Top Bottom