Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai.
Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa akisema kwamba katiba iliyopo inaweza kumfanya Rais kuwa dikteta hasa tukipata Rais hamnazo,nadhani wote tumeyashuhudia.
Kana kwamba haitoshi alishawahi kuonya kuhusu kuwapa madaraka watu wanaotokea baadhi ya makabila makubwa nchini hususani Wasukuma, Wachaga,Wanyakyusa na Wahaya. Sio kwamba Mwalimu alikuwa ana chuki na hayo makabila,la hasha bali hulka na tabia zao ni hatarishi kwa ustawi wa Nchi.
Kwa uzoefu wangu na kuishi na hawa watu ni jamii za watu wenye majivuno,kujidai,kujifanya wana akili sana kuliko wengine,dharau,wabinafsi na wenye kujipendelea,wafitini na mbaya zaidi ni jamii za watu wanaopenda sifa na kuabudiwa/kulambwa miguu.,maofisini hwa wanajijali wao kwa wao kwa kupendeleana,kwenye usafiri wa umma huwa wanazungumza kilugha bila kujali.Yaani ni jamii zinazojiona ni elite.
Ukiangalia awamu uliyopita chini ya Rais aliyejinasibisha kutoka miongoni mwa makabila niliyoyataja hapo awali ,si tu ilikuwa ya watu makatili bali ilileta mgawanyo mkubwa kwenye nchi kiasi kwamba tunu za Taifa zilitikiswa kwa nyufa za ukanda,ukabila,upendeleo nk.
Bila shaka tumejifunza na tusirudie kosa kama hili tena,siku hizi imezuka dhana kwamba jamii fulani ya kabila eti ina turufu ya kuamua nani awe Rais,tukiendelea kwa mwendo huu huko mbele italeta shida sana.Nafasi za Urais,Makamu wa Rais na ukuu wa taasisi z dola haifai kuongozwa na hawa jamaa maana wanaweza kutumia wingi na ushawishi wao vibaya kwa maslahi yao huku jamii zingine zikiumia.
Nch mbali mbali za Afrika zinateswa na jamii za watu ambao ni dorminant kwenye makabila yao,kwa hiyo ni vyema tuchukue tahadhari na mambo haya ndio yafaa tufundishe watoto wetu ili kuendelea na stability iliyopo.
Leo naishia hapa.