Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia.

===
During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive to liberate the region from dictators who were looting the economies and thwarting common democratic practices

Source NTV Kenya, December 2016
 
Junuiya itavunjika mara moja
Burundi? Uganda? Sudan Kusini? Rwanda?

Kenya ndio ina demokrasia ilikuwa ikifuatiwa na Tanzania kwa mbaaali kabla Magufuli hajaichinjia mbali
 
Huko anakokwenda Kwa desturi za viongozi wa kiafrika hiyo EAC itavunjika sasa hivi...Anaingia utamu wa watu? Tatizo la nchi nyingi za kiafrika ni uelewa mdogo wa wananchi kuhusu mahusiano ya siasa na maisha yao
 
Back
Top Bottom