Wewe umeolewa?Inakuaga tu kwa mind za wazazi kua kabila fulani lipo hivi , lingine vile....nimewakilisha tu wakinamama baadhi wenye hako katabia na vile unavyoweza hata kuharibu future ya binti yako kwa misimamo isiyo na mantiki, yapo kwa familia brooo
Ukisoma sana utaelewa kwanini nilienda
Anyway, I know you well. Im the one you've written about. I'm thobias as you named me in your thread. For sure ninaoa lakini still moyo una maumivu ya kuwa rejected na wewe Just Nana. What I beg from you, hata nikioa tuwe tunapiga show tu hadi uzeeni. Najua huwezi kukataa kwakuwa unanipenda pia.Ukisoma na nyuzi zangu zingine utaelewa, it's the way I communicate , I can't slay...we Soma content mengine sio muhimu sana mpenzi
Kama uliona video ya wimbo wa ZUCHU ya NAPAMBANA basi hii nayo ilivunwa shamba lile"...ulienda"??!! past tense.
Leo jioni hii Saa 4:22 PM uko salon unajiandaa kwenda harusini.
-Kaveli-
Umeona kitu km hiko eehPole sana aisee. Japo mwandiko unataka kuwa wa kiume halafu tena unakataa!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha...bwana Thoby kashaoa na ubwabwa tushakula bhanaAnyway, I know you well. Im the one you've written about. I'm thobias as you named me in your thread. For sure ninaoa lakini still moyo una maumivu ya kuwa rejected na wewe Just Nana. What I beg from you, hata nikioa tuwe tunapiga show tu hadi uzeeni. Najua huwezi kukataa kwakuwa unanipenda pia.
Ngoja nitoke online maana huyu new girlfriend ananinyemelea afumanie nachat na nani. Ntakucheki Love [emoji7][emoji3059][emoji8]
Ndio nimeoa,Hahahahaha...bwana Thoby kashaoa na ubwabwa tushakula bhana
Hakika hukukosa kipind cha English shulen [emoji16][emoji119]Mpenziwe anaoa. Ukabila uliosababisha mauti ya mama yake ulifanya waachane.
Hhhhhh akafanye nn mkuu?Umeyatimba, leo kwenye harusi ya tobby nenda ukakajikwae kifaza benadi uharibu keki na meza ya maharusi[emoji28]
You can't slay [emoji16][emoji16][emoji119].... Make it galishUkisoma na nyuzi zangu zingine utaelewa, it's the way I communicate , I can't slay...we Soma content mengine sio muhimu sana mpenzi
I gat young galiiAm a writter , a young one so don't take this story serious...it's just an idea ingawa kuna kapart ka maisha ya chuo na mazingira yana usalisia ...the rest ni story like any other...
Am a man...... Ila km uko hv fresh pia[emoji16]Nifundishe sasa[emoji847][emoji847][emoji847]
Ushafundishwa kichagaa[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahah....tunaanza lini darasa , yelewiii