Wewe umeolewa?Inakuaga tu kwa mind za wazazi kua kabila fulani lipo hivi , lingine vile....nimewakilisha tu wakinamama baadhi wenye hako katabia na vile unavyoweza hata kuharibu future ya binti yako kwa misimamo isiyo na mantiki, yapo kwa familia brooo