Kumbukizi: Naoa next month, naomba usikose kufika harusini

Japo hii ni chai ila hili niliongealo ni kweli, jamaa yangu kiasi kakutana na demu chuo wakapendana, demu muislamu jamaa mkiristo, wakafika hatua ya uchumba, demu kamchana mama yake kuwa kapata mchumba mkiristo, mama kamwambia binti huwezi olewa na mkiristo aslani, demu kashakolea kwa jamaa na alishaanza kwenda kanisani maana jamaa aliweka msimamo kuwa demu ndo abadili dini, demu kuongea na mzee wake mzee akamwambia mimi sina neno usikilize moyo wako. ndoa ikafungwa, siku ya harusi mama wa binti alikuwa na furaha sana, usiku baada ya mama kutoka ukumbini alifariki dunia, badala ya mume na mke kwenda honeymoon waliishia kwenda msibani. yaliibuka mengi kuwa mama alijimaliza hakuwa tayari kushuhudia mtoto wake akiishi na mkiristo na wajukuu zake wakiwa wakirsto. jamaa mpaka sasa yupo na mke wake, wana watoto kadhaa na maisha yako poa tu.
 
Doooh...wazazi bhana
 
wazazi wengine misimamo kama mujahideen yan.
Na huwezi wabishia yaani...wangejua hizi mambo ni chemistry yaani , unakuja kuishia kwa lijamaa lilevi hatariii doooh kisa wazazi walimkataa mtu wako
 
Acha kabisa aisee, ndo maana wenzetu haya mambo wanawaachiaga wawili tu mmalizane huko, wao kazi yao ni kutoa baraka tu na ushauri.
 
Hii thread pamoja na kichwa Cha habari hapo juu nilisema ni WA kwetu huyu daah kumbe ni Cha kike 😅😅

Na Mimi pia no mchaga sema mazaa ako akifanya sio fresh akatubu

Apumzike Kwa Amani
 
Hii thread pamoja na kichwa Cha habari hapo juu nilisema ni WA kwetu huyu daah kumbe ni Cha kike [emoji28][emoji28]

Na Mimi pia no mchaga sema mazaa ako akifanya sio fresh akatubu

Apumzike Kwa Amani
Mazaaa kakaza[emoji2962][emoji2962]
 
Swali langu ni kwamba......hata baada ya jamaa kuoa utaendelea kumtunuku mbunye au ndio basi tena
Story imeishia kwa harusi my dear, kalamu ya mwandishi imeishia hapo, siwezi muongelea msimuliaji...labda tusubirie part two Kama itatoka...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeanza kama Joni hivi mara katikati ukajikuta Just Nana humo ukaendelea na u Joni Joniiiiiii ukaja kumaliza kama Just Nana.

Enewei, kuna bata la Papa Potwe hapo Mafia Kisiwani kwa siku 3 Mfululu
 
Nipe code mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom