Kumbukizi: Nimekuwa mgonjwa kwa muda mrefu marehemu Alute Lissu

Kumbukizi: Nimekuwa mgonjwa kwa muda mrefu marehemu Alute Lissu

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
kwenye mahojiano aliyofanya siku chache zilizopita marehemu Alute mughwai Lissu ambae ni kaka yake na mwenyekiti wa chadema tundu lissu alieleza kuwa amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya kwa muda mrefu .
Mahojiano hayo ameyafanya na chombo cha habari cha The Chanzo

Chanzo: Bahasha Media

sijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa ndiyo hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka haraka kama muslims, wafanye autopsy na wasiruhusu msiba uchukuliwe na "wengine" kama walifanya kwa akina Mhagama & co.

rip ...
 
sijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka kama muslims, wafanye uchunguzi ajue kilichomuua.

rip ...
Kwanini akili hiyo imekuja kwanza while death (his if you like) has a lot of other possible causes?
 
Kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha kuwa amefariki kwa sababu alikuwa mgonjwa? Unajua ninyi ndiyo mnafanya watu wazidi kuwa na wasiwasi. Watu wakisema mlitumia ugonjwa wake ''kummaliza'' kwa sabbabu mliona tishio la yeye kutoa siri za vikao vya usaliti hamwezi kuwalaumu. Acheni familia yake itoe maelezo
 
sijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka kama muslims, wafanye uchunguzi ajue kilichomuua.

rip ...
yule mwenendo wake wa maisha ndo umemuondoa angali kijana,kula minyama choma,beer,mazoezi hakuna,maisha ya hali ya juu,mvinyo kwa pembeni,saussages kwa wingi,the end result ndo hiyo
 
Kwanini akili hiyo imekuja kwanza while death (his if you like) has a lot of other possible causes?

yote yanawezekana na ndiyo maana sielewi ni kwa nini mnangangania alisema kwamba "nilikuwa mgonjwa" kama alisema hivyo so what? inahusiana na kifo kwake?, i mean, aliongea mengi kwa nini hilo la tu la nilikuwa mgomjwa ndiyo mnalingangania? mnajaribu ku-justify nini? ...
 
Mnalazimisha tuamini amefariki kwa ugonjwa, kuna nini mnataka kukificha?
 
sijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa ndiyo hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka haraka kama muslims, wafanye autopsy na wasiruhusu msiba uchukuliwe na "wengine" kama walifanya kwa akina Mhagama & co.

rip ...
Kwani aliwahi kuwa Kiongozi ? Maana viongozi mazishi yao yanafanywa kwa mujibu wa sheria ya Mazishi ya Viongozi huyo kapuku familia yake ndiyo itapanga ratiba ya mazishi
 
Hapo piga ua presha halafu ikafuatiwa na sukari,haya magonjwa ni shida
Ndiyo maana nikisharudi Kazini ni kujiumiza tuu uwanjani hadi saa 3 usiku Pressure na Sukari ni Magonjwa ya Mtindo wa Maisha ukiacha Kansa.
 
Back
Top Bottom