carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Hapo piga ua presha halafu ikafuatiwa na sukari,haya magonjwa ni shidawe are what we eat
Hapana, ni watu wasiojua tu...kwanza alikuwa CCM kwa kadi kabisa na hakuwahi kuhamia CHADEMA, Mie nimekuwa nikikutana nae mara kwa mara Hospital nikimpeleka Mama yanguHalafu mipang'ang'a inakomaa kauawa
We are what wè ùsed to dowe are what we eat
Wachache sana tutakikwepa kikombe cha kansaSamahani lakini jamàa inaonyesha alikuwa na kansa, na alikuwa kwenye Chemo.
Nasema based on family experience.
... among other factors including genetics.we are what we eat
... among other factors including what we are!We are what wè ùsed to do
Kwanini akili hiyo imekuja kwanza while death (his if you like) has a lot of other possible causes?sijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka kama muslims, wafanye uchunguzi ajue kilichomuua.
rip ...
Kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha kuwa amefariki kwa sababu alikuwa mgonjwa? Unajua ninyi ndiyo mnafanya watu wazidi kuwa na wasiwasi. Watu wakisema mlitumia ugonjwa wake ''kummaliza'' kwa sabbabu mliona tishio la yeye kutoa siri za vikao vya usaliti hamwezi kuwalaumu. Acheni familia yake itoe maelezokwenye mahojiano aliyofanya siku chache zilizopita marehemu Alute mughwai Lissu ambae ni kaka yake na mwenyekiti wa chadema tundu lissu alieleza kuwa amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya kwa muda mrefu .
Mahojiano hayo ameyafanya na chombo cha habari cha The Chanzo
Chanzo: Bahasha Media
yule mwenendo wake wa maisha ndo umemuondoa angali kijana,kula minyama choma,beer,mazoezi hakuna,maisha ya hali ya juu,mvinyo kwa pembeni,saussages kwa wingi,the end result ndo hiyosijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka kama muslims, wafanye uchunguzi ajue kilichomuua.
rip ...
Kwanini akili hiyo imekuja kwanza while death (his if you like) has a lot of other possible causes?
Mbona mumeo hajafa na hayo magonjwa na unajua fika anayo?Hapo piga ua presha halafu ikafuatiwa na sukari,haya magonjwa ni shida
Kwani aliwahi kuwa Kiongozi ? Maana viongozi mazishi yao yanafanywa kwa mujibu wa sheria ya Mazishi ya Viongozi huyo kapuku familia yake ndiyo itapanga ratiba ya mazishisijaelewa, kwa hiyo mtu akiwa mgonjwa ndiyo hawezi kuwa assassinated? ushauri wangu wasimzike haraka haraka kama muslims, wafanye autopsy na wasiruhusu msiba uchukuliwe na "wengine" kama walifanya kwa akina Mhagama & co.
rip ...
Ndiyo maana nikisharudi Kazini ni kujiumiza tuu uwanjani hadi saa 3 usiku Pressure na Sukari ni Magonjwa ya Mtindo wa Maisha ukiacha Kansa.Hapo piga ua presha halafu ikafuatiwa na sukari,haya magonjwa ni shida