KUMBUKIZI | Paul Makonda: Ukiniweka kwenye Kaburi mimi nitafufuka tu!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu amekwisha kosa, akatafute shughuli nyingine ya kufanya
 
Roho ya kujihesabia haki...
 
Kupita atapita. Swali uchaguzi utakuepo ?

NRNE!!!.
 
watanzania bhana SASA Hao wanapiga makofi ya nini INA maana hawajui nini maana ya kuwekwa.


Kwani kila anayewekwa kaburini anakuwa amekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…