Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kuna kitu Cha Combi Volkswagen....Pijo, mshua wangu alikuwa nayo hii mpaka around late 90's. Ukijua/ukijifunzia hii gari na Land-rover 109 hakuna gari, ukiacha fiat mbaura na Bedford utashindwa kuendesha. Labda uwe na wenge tuu.