KUMBUKIZI; Rais Samia: Mimi ni Dada kwa Tundu Lissu, kama ana shida atakuja kusema kwa dada yake

Rais Samia amtaka Tundu Lissu wakazungumze!View attachment 3217396
Lissu hajui hayo, hana shukran..kama aliweza kumtukana mbowe alimkaliza miezi 3 nairobi huku akimtawazisha hakuona umuhimu huo. Raha ya mama yeye anajeshi. Lissu akitaka kuleta kama alivyomfanyia mbowe ataishia kama Dr slaa, dhamana itazuiliwa kwa usalama wake.Hio ndio tofauti kati ya mbowe na mama
 
Mbowe aka Ustaadh Abubakar 😂

Waislamu Kwa ubwabwa 😄😄😄
 
Lissu hajui hayo, hana shukran..kama aliweza kumtukana mbowe alimkaliza miezi 3 nairobi huku akimtawazisha hakuona umuhimu huo. Raha ya mama yeye anajeshi. Lissu akitaka kuleta kama alivyomfanyia mbowe ataishia kama Dr slaa, dhamana itazuiliwa kwa usalama wake.Hio ndio tofauti kati ya mbowe na mama
Tukiwaambia tz kuna maiti nyingi zinazotembea mojawapo ni hii iliyotapika maneno haya wakati wa chakula
 
Back
Top Bottom