KUMBUKIZI; Rais Samia: Mimi ni Dada kwa Tundu Lissu, kama ana shida atakuja kusema kwa dada yake

KUMBUKIZI; Rais Samia: Mimi ni Dada kwa Tundu Lissu, kama ana shida atakuja kusema kwa dada yake

Pumbav mnavyopenda ubwabwa kulima kwenyewe hamlimi kazi kukaa kwenye vijiwe vya kahawa mkiwa na kanzu kuu kuu na vibakuli vilivyochanika.
Tunasubiri utawala wa Tundulissu kupitia kanisa katoliki utawasaidia waislam wafanye kazi
 
Tunajua huna shida naye, huna mvutano mbaya wa kisiasa na tunajua chama chako cha siasa kina maguvu mengi. Cha kufanya, waache wafanye siasa zao kwa uhuru usiwabane. Uchaguzi ukija waachie majimbo kadhaa nao wapate wabunge demokrasia ionekane imefanyika. Usiwanyime kabisa kama ule uchaguzi uliopita. Nadhani nje ya siasa nyie ni dada na kaka kabisa mnaweza itana na kula chakula pamoja kama ndugu. Ila kwa vile mnaongoza taasisi mbili tofauti za vyama vya siasa zenye sera tofauti, vumilianeni tu mkitofautiana hoja
 
Je Tundu Lissu atalambishwa asali?Je Atakubali au atakataa?
Nimeitikia wito wako dada...

Karibu sana, na nikupongeze kwa kumpokea aliyekutangulia kijiti hiki cha kuiendesha taasisi yenu.

Aah, nashukuru sana.

Enhee, vipi mambo unayaonaje hadi sasa, tangu ulipochukua hiko kijiti?

Aah bado tunajipanga, sana kwenye kuimarisha taasisi lakini pamoja na kuimarisha vyanzo vyetu vya mapato, kwa maana ni kama tunaanza tena upya kabisa.

Ooh, naelewa mdogo wangu, naona hata utukutu utapunguza sasa hahahaaa.

Hahahaaa, sasa hivi ndio utaongezeka kwa maana watu wameniamini kutokana na sifa yangu hiyo.

Ni kweli, ila nikuulize kwanza hivi huwa watu wanapogombea hizi nafasi goals zao huwa ni nini hasa? Na Je, kama hizo goals zitashindwa kufikiwa kwa njia iliyopangwa plan B yake ni ipi (vipi umeshawahi kujiuliza hili swali)?

ILa kwa nnavyozijua akili zako wewe mdogo wangu huchelewi kuniambia kuwatumikia wananchi, which is true, and...

It's okay so tubaki kwenye huu upande wako wa kutaka uwatumikie wanachi meaning ni kazi ya kujitolea, vipi unayo kazi nyingine ya kukuingizia pesa kwaajiri ya kuendesha maisha yako, kwa maana kazi ya kujitolea huwa haina maslahi na nnavyokuna hivi sasa unafanya kazi full time hadi umeanza kukonda (anachukua kikombe cha chai kilichokuwepo pale mezani anavuta funda moja anashusha kisha anasubiri jibu)

Sina kazi nyingine...

Ooh, naona, ila sasa kama huna kazi nyingine, maisha utayaendesha vipi kwa kufanya kazi ya kuwatumikia wanachi full time? Au kuna watu wanakuback up mwenzetu maana safari za nje zilikua nyingi sana kipindi cha hapo katikati (anacheka kidogo).

Daah Leo naona umenikamia sana, naona kama ingefaa tungeachana na haya mambo kwanza ili tujikite zaidi kwenye yale ambayo umeniitia hapa.

Ooh, ni kweli ila nimeanza mazungumzo yangu kwenye upande huo kwasababu kama unavyojua Mimi naongoza taasisi kama yako, kwahiyo naelewa changamoto za kuongoza taasisi za namna hii, na ndio maana nimeona nianzie huko ili nione kama kuna sehemu naweza nikakusaidia hata kwa mawazo... Anyways, najua wewe ni mkongwe kwahiyo lazima utakua tayari uko na njia zako ulishaziandaa za namna ya kukabiliana na yote hayo.

Anhaa, basi wacha nikukibu lile swali lako la awali kwa kifupi sana ya kwamba sijui, lakini lengo langu wote mnalijua kwamba Mimi nataka kuiwakilisha taasisi yetu kwenye kinyang'anyiro cha ufalme katika njia ya kweli na haki...

Naona umejizatiti kweli kweli, ila una uhakika gani kama utakuja kuwa mfalme?

Okay, tuachane na hiyo ila bado kuna jambo najiuliza hapa kama haujui, kwanini unatumia hadi akiba yako ya ndani ili uweze kufanikisha mambo kadha wa kadha ili uweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kinafasi?

Hiyo ni hali ya kujitolea ili nisiwaangushe watu walioniamini...

Wewe ni nani hata ujitolee for nothing?(Anacheka kidogo, halafu anamalizia na kusema joke)

Kwamba haujui kama Mimi ni mzalendo...

Wote ni wazalendo mdogo wangu, ila ukweli ni kwamba hatuwezi kula uzalendo wetu, kwahiyo uzalendo utaanza lakini mwisho wa siku lazima tuangalie namna ya sisi tutakavyo ishi?

Kimyaaaaa...

Haya chukua hii pesa kidogo utaweka mafuta kwenye gari yako, mengine tutaongea next time.

Kwahiyo haya ndio uliyoniitia?...

Hapana, yapo mengi nataka niongee na wewe ila nadhani wacha nikupe muda kidogo uweke mambo yako sawa na ukitulia nadhani tutapata muda mzuri wa kuongea zaidi.

Ila pia Kabla hujaondoka, kuna wawekezaji walinicheck wanataka kufanya kazi na wewe watakusaidia sana kwenye kupata pesa za kuendesha mambo mbalimbali ya taasisi kwahiyo utakapoona umekwama sehemu na unahitaji wawekezaji basi usisite kuniambia.

Nahitaji, vipi kuna masharti yoyote...

Ooh, usijali kuhusu masharti kwa maana ni watu ambao wako chini yangu kwahiyo wanaskiliza Kila neno ambalo nitawaambia.

Anhaa, basi utanikutanisha nao ili tuweze kufanya mazungumzo.

Sawa, kuna mtu atakupigia simu Leo jioni, atakupa maelezo yote muhimu.

..... Asante, nilifanikiwa kukutana na wale wawekezaji na Kila kitu kilienda sawa.

Anhaa, Asante kwa taarifa, si nilikuambia hao hawana shida kwa maana nawamudu na nikuhakikishie tu kama hautaniangusha nitakuunganisha na wengine wengi tu.

Nashukuru sana kwa ukarimu wako...

Karibu sana, hivi ndivyo wenzako tunavyoishigi siku zote, najua hakupata muda wa kuongea mambo haya na mwenzio ila wala usijali taratibu taratibu utaelewa namna ambavyo huwa tunafanya kazi na taasisi yenu mdogo wangu, nakuamini sana na naamini hautaniangusha hata siku moja.

Hamna shida tutawasiliana vizuri tuongee yale mambo ulipanga tuongee lakini pia kuhusu hao wawekezaji wengine.

Naona umeanza kuacha utukutu wako sasa, good boy, nitakupangia appointment ili uje tuongee kwakina... Uwe na wakati mzuri.

Asante na kwako pia.

....simu ikakatwa.
 
Lissu hajui hayo, hana shukran..kama aliweza kumtukana mbowe alimkaliza miezi 3 nairobi huku akimtawazisha hakuona umuhimu huo. Raha ya mama yeye anajeshi. Lissu akitaka kuleta kama alivyomfanyia mbowe ataishia kama Dr slaa, dhamana itazuiliwa kwa usalama wake.Hio ndio tofauti kati ya mbowe na mama
Hivi kumbe Lisu kugombea kiti cha uenyekiti ni kumtukana mbowe na kukosa shukrani?
 
Lissu hajui hayo, hana shukran..kama aliweza kumtukana mbowe alimkaliza miezi 3 nairobi huku akimtawazisha hakuona umuhimu huo. Raha ya mama yeye anajeshi. Lissu akitaka kuleta kama alivyomfanyia mbowe ataishia kama Dr slaa, dhamana itazuiliwa kwa usalama wake.Hio ndio tofauti kati ya mbowe na mama
Atawafanyia wote ila kwa Lissu kazi anayo...kumuweka Lissu masaa zaidi ya 72 ndani bila maelezo kelele utakazyopigiwa Duniani achana na TZ yatakuzibua masikio.
 
Back
Top Bottom